• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama cha Macron chakadiriwa kushinda viti vingi kwenye uchaguzi wa wabunge Ufaransa

    (GMT+08:00) 2017-05-04 09:32:48

    Chama cha En Marche cha Ufaransa kinachoongozwa na mgombea rais Emmanuel Macron kinakadiriwa kushinda viti vingi kwenye uchaguzi wa bunge la nchi hiyo utakaofanyika Juni mwaka huu. Uchunguzi uliofanywa na OpininonWay na SLPV unakadiria kuwa chama cha En Marche kinaweza kushinda uchaguzi huo kwa kupata viti 289 kati ya vyote 577 vya bunge.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako