• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia, Iran na Uturuki zasaini makubaliano ya kuanzisha maeneo salama nchini Syria

    (GMT+08:00) 2017-05-05 09:16:09

    Russia, Iran na Uturuki zimesaini makubaliano ya kuanzisha maeneo salama nchini Syria.

    Makubaliano hayo yanalenga kusimamisha mapambano, kuboresha hali ya kibinadamu, na kutoa mazingira yanayohimiza mchakato wa amani na ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Syria.

    Habari zinasema, ingawa serikali ya Syria inaunga mkono mpango huo, makundi ya upinzani ya Syria yameukataa, na kusema makubaliano hayo yatatishia ukamilifu wa ardhi ya Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako