• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Pakistan lawaua askari 50 wa Afghanistan kwenye mapigano ya mpakani

    (GMT+08:00) 2017-05-08 09:02:52

    Mkuu wa vikosi vya Pakistan Meja jenerali Nadeem Ahmed amesema jeshi la usalama la nchi hiyo limewaua wanajeshi 50 wa Afghanistan kwenye mapigano yaliyotokea Ijumaa iliyopita kwenye eneo la mpaka kati ya nchi hizo mbili, ambapo vituo vitano vya jeshi la Afghanistan viliharibiwa. Jeshi la Pakistan limesema vikosi vya Afghanistan viliwafyatulia risasi kwanza, huku upande wa Afghanistan ukiishutumu Pakistan kwa uvamizi wa kuvuka mipaka. Hivi sasa pande hizo mbili zimetangaza kusitisha mapigano kwenye eneo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako