• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanamke mmoja wa Palestina auawa kwa kupigwa risasi akijaribu kuwashambulia polisi wa Israel

    (GMT+08:00) 2017-05-08 09:03:12

    Mwanamke mmoja wa Palestina ameuawa kwa kupigwa risasi akijaribu kuwashambulia kwa kisu polisi wa Israel kwenye eneo la mji mkongwe, mashariki mwa Jerusalem. Msemaji wa polisi wa Israel Bibi Luba Samri amesema mwanamke huyo aliwakaribia polisi waliokuwa zamu kwenye eneo hilo, na ghalfa alitoa kisu na kujaribu kuwashambulia, kabla ya kuuawa papo hapo kwa kupigwa risasi. Tukio hilo limetokea kwenye eneo la lango la Damascus, ambako mashambulizi ya visu kama hilo yalitokea kwenye wimbi la vurugu la hivi karibuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako