• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • UEFA Champions Ligi: Nusu fainali mechi za marudiano, Juventus kuwakabili Monaco

  (GMT+08:00) 2017-05-09 09:12:02

  Juventus leo watawakaribisha AS Monaco mjini Turin kucheza mechi ya pili ya nusu fainali, katika mechi ya kwanza iliyochezwa wiki iliyopita, Juventus waliinyuka AS Monaco jumla ya goli 2-0 katika mechi iliyochezwa Monaco.

  Mshindi wa mechi hii atakumbana na mshindi wa mechi nyingine ya nusu fainali kati ya Atletico Madrid na Real Madrid. Kesho kutakuwa na mtanange mwingine wa marudiano ya nusu fainali hizo kati ya Real Madrid na Atletico Madrid.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako