• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa mataifa kuisaidia Afrika kujenga jukwaa la biashara kupitia mtandao wa internet la bara la Afrika

    (GMT+08:00) 2017-05-09 09:16:12

    Umoja wa posta duniani UPU utaisaidia Afrika kuanzisha jukwaa la biashara kupitia mtandao wa Internet linalounganisha bara zima, ili kuhimiza ujasiriamali barani Afrika. Mkurugenzi mkuu wa UPU Bw Bishar Hussein amesema jukwaa hilo lenye jina la Ecom@Africa litafungua mustakbali wa biashara ya Afrika kwenye jukwaa la kimataifa, na UPU umechagua nchi kadhaa zikiwemo Kenya, Afrika Kusini, Cameroon, Cote d'Ivoire, Morocco na Tanzania, kuwa vituo vya mwanzo kwa ajali ya kuanzisha jukwaa hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako