• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Upigaji kura wa uchaguzi wa rais mpya wa Korea Kusini waanza

    (GMT+08:00) 2017-05-09 09:16:56

    Upigaji kura umeanza kote nchini Korea Kusini kumchagua rais mpya wa nchi hiyo, kwenye uchaguzi usio wa kawaida unaofanyika mapema kuliko ilivyopangwa, baada ya kuondolewa madarakani na kukamatwa kwa rais Park Geun-hye mwezi Machi kwa makosa ya ufisadi. Uchaguzi unaoendelea umeanza saa 12 asubuhi hadi saa 2 usiku wa leo kwa saa za huko, muda ambao umerefushwa kwa saa mbili ili kuwashirikisha wapiga kura wengi zaidi kote nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako