• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wahamiaji zaidi ya 7,000 kutoka kusini mwa Sahara watiwa mbaroni Libya

    (GMT+08:00) 2017-05-10 09:20:23

    Wahamiaji elfu saba hadi elfu nane kutoka Afrika kusini mwa Sahara wamewekwa kizuizini nchini Libya. Ofisa wa mamlaka ya kupambana na uhamiaji haramu nchini Libya Bw. Abdulrazaq al-Shniti amesema kuwa wazi kwa mpaka wa kusini wa Libya ni chanzo kikuu cha wahamiaji haramu nchini humo, na wahamiaji waliozuiliwa watarudishwa kwenye nchi zao chini ya uratibu na balozi zao na Shirika la uhamiaji la kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako