• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Abbas asema angependa kufanya mazungumzo na Bw. Netanyahu

    (GMT+08:00) 2017-05-10 09:20:40

    Rais Mahmoud Abbas wa Palestina amesema yuko tayari kufanya mazungumzo ya amani na waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu chini ya usuluhishi wa Marekani. Rais Abbas amesema hayo baada ya kukutana na rais Frank-Walter Steinmeier wa Ujerumani ambaye yuko ziarani nchini Palestina. Rais Steinmeier amesema ufumbuzi wa nchi mbili ni chaguo la pekee la kutatua mgogoro wa Palestina, na anatumia pande zote husika zingefanya juhudi kwa pamoja ili kufanikisha mpango huo wa utatuzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako