• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda Maonyesho ya biashara ya matunda na mboga nchi Italy.

    (GMT+08:00) 2017-05-10 19:52:50

    Maonyesho ya Uwezo wa Uganda katika mauzo ya nje ya matunda na mboga itafanyika wiki hii katika maonyesho ya kitaifa Macfruit nchi Italy.

    Maonyesho ya biashara ya matunda na mboga, Macfruit imepangwa kufanyika kuanzia tarehe 10 mwezi huu hadi tarehe 12.

    Angalau

    Makampuni 10 ya mauzo ya nje, wafanyibiashara wote wa matunda na mboga kutoka na chama cha wazalishaji (UFVEPA), yamepangwa kushiriki katika maonyesho hayo.

    Bi Brenda Opus, mkurungezi wa mauzo ya nje nchini Uganda amesema maonyesho haya ya biashara ni jukwaa la mikutano ya biashara na mikutano ambayo itasaidia makampuni ya Uganda na fursa ya kujifunza zaidi kuhusu viwango na mahitaji ya kimataif.

    Maonyesho haya yatavutia wanunuzi zaidi ya 1,000 kutoka nchi zaidi ya 30 watakao shiriki.

    Italy ndio mnunuzi mkubwa wa bidhaa kutoka Uganda katika Ulaya Umoja ambayo imechangia dola milioni 23 katika mwaka 2016 ya jumla ya mauzo nje kuelekea Umoja wa Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako