• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wazalishaji wa bia kwa kutumia bidhaa za kilimo watafaidika na kupunguzwa kwa ushuru bwa bidhaa

    (GMT+08:00) 2017-05-10 19:53:50

    Watengenezaji wa ndani wa bia iliyotengenezwa kwa kutumia mtama, mhogo na bidhaa yoyote kutoka shambani hivi karibuni watafaidika na kupunguzwa kwa ushuru bidhaa.

    Hii iliwezekana baada ya hazina ya fedha kuchapisha kanuni mpya kurahisisha utozaji ushuru wa bidhaa, ilipatia wazalishaji wa bia msamaha wa asilimia 80 wa ushuru wa bidhaa.

    Lakini Bia iliyotengenezwa kwa shayiri,haitafaidika na kupunguzwa kwa ushuru wa bidhaa.

    Hatua hii iko na uwezo wa kupiga jeki sekta ya kilimo, sana sana uzalishaji wa mtama, mhongo na wimbi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako