• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa waraka kuhusu ujenzi wa Ukanda Mmoja na Njia Moja

    (GMT+08:00) 2017-05-11 16:13:58
    China yatoa waraka kuhusu ujenzi wa Ukanda Mmoja na Njia Moja

    Ofisi ya kikundi cha uongozi wa kazi ya kusukuma mbele ujenzi wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" ya China imetunga waraka uitwao "Jenga kwa pamoja 'Ukanda Mmoja na Njia Moja': mawazo, mazoezi na mchango wa China", na kueleza maana ya kazi hii na mafanikio yaliyopatikana katika miaka mitatu iliyopita.

    Waraka huo utaongeza maelewano kati ya China na nchi nyingine kuhusu kazi hiyo, kuongeza maoni ya pamoja, na kuimarisha mawasiliano na ushirikiano katika pande mbalimbali.

    Mwezi Oktoba mwaka 2013, rais Xi Jinping wa China alitoa mpango wa kujenga "Ukanda wa Uchumi wa Njia Mpya ya Hariri" na "Njia ya Hariri ya Baharini ya Karne ya 21", ambao unafuatiliwa na kupokewa na jumuiya ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako