• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marekani itatuma mjumbe kushiriki kongamano la Ukanda Mmoja na Njia Moja mjini Beijing

  (GMT+08:00) 2017-05-12 17:03:10

  Naibu waziri wa fedha wa China Zhu Guangyao amesema, Marekani itatuma mjumbe kushiriki kwenye kongamano la kilele la ushirikiano wa kimataifa la Ukanda Mmoja na Njia Moja litakaoanza Jumapili wiki hii mjini Beijing.

  Bw. Zhu amesema, mwezi mmoja baada ya marais wa China na Marekani kukutana, nchi hizo mbili zimefikia makubaliano kumi kuhusu ushirikiano wa kiuchumi ambayo yanahusisha sekta za biashara ya bidhaa za kilimo, huduma za fedha, uwekezaji na nishati.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako