• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mawaziri wa mambo ya nje wa China na Ethiopia wakutana

  (GMT+08:00) 2017-05-12 20:03:22

  Waziri wa mambo ya nje ya China Bw. Wang Yi amekutana na mwenzake wa Ethiopia Bw. Workineh Gebeyehu ambaye aliambatana na waziri mkuu wa Ehiopia kuhudhiria baraza la ukanda mmoja na njia moja hapa China.

  Pande hizo mbili zimekubali kuimarisha mawasiliano na uratibu katika mambo yanayohusu nchi hizo na ya kimataifa, kuelewana na kuungana mkono katika masuala yanayohusu maslahi ya pande mbili na yanayofuatiliwa na pande hizo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako