• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matukio makubwa yaliyotokea wiki hii (8 Mei-12 Mei)

    (GMT+08:00) 2017-05-12 20:31:49

    7-Umoja wa Ulaya kutoa dola milioni 53 kwa ajili ya elimu Somalia

    Umoja wa Ulaya utatoa dola milioni 53 za kimarekani kwa ajili ya kukuza sekta ya elimu nchini Somalia. Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Somalia Bibi Veronique Lorenzo amesema umoja huo utashirikiana na Somalia baada ya ukame mkali kusababisha vifo na majanga nchini humo.

    Amesema programu hiyo itaimarisha maendeleo yaliyopatikana na kupanua upatikanaji wa elimu bora nchini Somalia.


    1  2  3  4  5  6  7  8  9  10  
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako