• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ujenzi wa Ukanda mmoja na njia moja wazingatia kuunganisha dunia katika pande tano

    (GMT+08:00) 2017-05-14 11:07:17

    Naibu waziri mkuu wa China Bw. Zhang Gaoli leo hapa Beijing alipohutubia Mkutano wa Baraza la Ukanda mmoja na Njia moja, amesema, mawasiliano ya kisera, munganiko wa miundombinu, urahisishaji wa biashara, upatikanaji wa fedha na maelewano kati ya watu ni masuala muhimu katika ujenzi wa Ukanda mmoja na Njia moja. Amesema nchi washirika wa Ukanda mmoja na Njia moja si kama tu wanapaswa kuendelea kukamilisha mtandao wa miundombinu, bali pia wanatakiwa kuimarisha munganiko katika utungaji sera, kanuni na vigezo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako