• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nigeria yachukua hatua kufuatia WHO kutahadharisha mlipuko wa Ebola nchini DRC

    (GMT+08:00) 2017-05-15 09:24:16

    Serikali ya Nigeria imetoa wito wa kuchukua tahadhari na kufanya juhudi zaidi kuzuia ugonjwa wa Ebola, baada ya mlipuko wa ugonjwa huo kuripotiwa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.

    Waziri wa afya wa Nigeria Bw Issac Adewole ameshauri wahudumu wa afya na umma kuripoti dalili yoyote ya maambukizi ya ugonjwa huo kwa mamlaka ya udhibiti wa maradhi nchini humo. Waziri huyo pia amewaondoa hofu wananchi na kusema Kituo cha Udhibiti wa magonjwa cha Nigeria NCDC kimejizatiti kulinda afya ya watu wa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako