• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mikutano sita yafanyika kando ya Mkutano wa kilele wa baraza la "Ukanda Mmoja na Njia Moja"

  (GMT+08:00) 2017-05-15 09:48:04

  Mikutano sita kando ya mkutano wa kilele wa baraza la "Ukanda Mmoja na Njia Moja" ilifanyika jana alasiri, ambapo wajumbe zaidi 1,500 kutoka nchi mbalimbali wamejadiliana kwa kina kuharakisha munganiko wa miundombinu, kuhimiza mawasiliano ya kibiashara na kifedha, kuongeza maingiliano ya watu na mawasiliano kati ya jumuiya za washauri bingwa.

  Baada ya mikutano hiyo, wajumbe walisaini mikataba kadhaa na kufikia makubaliano mbalimbali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako