• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jiping wa China ahudhuria kikao cha kwanza cha mkutano wa wakuu wa baraza la ushirikiano wa kimataifa wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja"

  (GMT+08:00) 2017-05-15 11:24:19

  Kikao cha kwanza cha mkutano wa wakuu wa baraza la ushirikiano wa kimataifa wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" kimefanyika leo hapa Beijing. Rais Xi Jinping wa China ameongoza mkutano huo, kutoa hotuba na kujadiliana na marais, viongozi wa serikali za nchi mbalimbali na viongozi wa mashirika ya kimataifa kuhusu mpango wa ujenzi wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja".

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako