• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Xi asema China iko tayari kuboresha uhusiano wa pande mbili na Kenya

  (GMT+08:00) 2017-05-15 21:19:24

  Rais Xi Jinping wa China amesema kuwa nchi yake iko tayari kufanya kazi na Kenya kuendeleza uhusiano wa pande mbili kwa ngazi mpya.

  Rais Xi amesema hayo alipokutana na rais uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye yuko hapa China kuhudhuria mkutano wa siku mbili wa Ukanda Mmoja na Njia Moja uliomalizika hii leo.

  Kwa upande wake, rais Kenyatta amepongeza mafanikio yaliyofikiwa katika mkutano huo, na kusema Kenya inapenda kushiriki kwenye ujenzi wa Ukanda Mmoja na Njia Moja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako