• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu wa Afrika wakutana Kampala kujadili sera za uhamiaji za Afrika

    (GMT+08:00) 2017-05-16 09:03:10

    Wataalamu wa nchi za Afrika wamekutana nchini Uganda kujadili na kutunga sera ya pamoja ya Afrika kuhusu uhamiaji. Hotuba ya rais Yoweri Museveni wa Uganda iliyosomwa kwenye ufunguzi wa mkutano huo inasema, uhamiaji ni suala linalofuatiliwa kote duniani, na linatakiwa kushughukiwa kwa njia ya kibinadamu. Amesema Afrika ina raslimali nyingi kwa hivyo watu wa bara hilo hawapaswi kufa wakijaribu kuvuka bahari ya Mediterranean, kwa matumaini ya kutafuta maisha bora barani Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako