• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: malengo yaliowekwa katika mwaka wa fedha wa 2016/17 kuonekana kutotimiaya.

    (GMT+08:00) 2017-05-17 20:02:08

    Ikiwa imebakia miezi miwili mwaka huu wa fedha kuisha, masuala mengi ya meibuka baadaya ya malengo yaliowekwa katika mwaka wa fedha wa 2016/17 kuonekana kutotimiaya.

    Mambo mengi yameshirikiana kueleza kwa nini serikali ya Uganda haikushikilia mpango wake wa matumizi.

    Vizuizi kama vile ukusanyaji wa chini wa kodi, kushuka kwa ukuaji wa uchumi na utekelezaji duni wa miradi miongoni mwa zengine, zimevuta chini utendaji wa bajeti ya taifa.

    Habari kutoka wizara ya Fedha inaonyesha kuwa uchumi katika mwaka huu wa fedha ambayo unaisha mwezi Juni 30, pia umeathirika na kushuka kwa uchumi wa dunia.

    Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mipango, katika Mamlaka ya Taifa ya Mipango, Dk Partick Birungi, amesema bajeti ya mwaka wa 2016/17 imekuwa ikifanya vibaya kulingana na uchambuzi wa robo za kwanza katika mwa mwaka wa 2016/17.

    Anaendelea kusema lengo la mwaka wa fedha wa 2016/17 katika robo mbili za kwanza ilikuwa ifike asilimia 58 ambayo kwa ujumla iko chini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako