• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serengeti Boys yapewa ulinzi mkali na CAF kwenye michuano ya AFCON U-17

    (GMT+08:00) 2017-05-18 09:39:25

    Timu ya taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 Serengeti Boys bado ipo nchini Gabon katika mji wa Libreville kunakochezwa michezo ya Kundi B ya AFCON U-17. Serengeti Boys imepangwa Kundi B na timu za Angola, Mali na Niger. Leo Serengeti Boys watacheza mchezo wao wa pili dhidi ya Angola. Timu hii kwa sasa imepewa ulinzi mkali na shirikisho la soka la Afrika CAF ikiwemo na escort ya polisi wakiwa wanaenda na kurudi uwanjani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako