• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Serikali kujenga kiwanda cha chai Kericho

    (GMT+08:00) 2017-05-18 19:10:57

    Kenya: Serikali ya Kenya inajenga kiwanda cha chai katika kaunti ya Kericho kwa gharama ya shilingi milioni 770.

    Katibu wa kudumu katika wizara ya kilimo Adrew Tuimur amesema kiwanda hicho kitajengwa chini ya taasisi ya utafiti wa chai.

    Shilingi milioni 370 zitatumika kujenga kiwanda chenyewe na zingine milioni 400 kununua mashine.

    Chai ya kwanza iliosindikwa kwenye kiwanda hicho inatarajiwa mapema mwaka ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako