• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marais wa Russia na Ufaransa wazungumza kwa njia ya simu

  (GMT+08:00) 2017-05-19 08:41:56

  Rais Vladimir Putin wa Russia na mwenzake wa Ufaransa Emmanuel Macron wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu, na kueleza nia yao ya kukuza uhusiano wa nchi hizo mbili. Viongozi hao wamesisitiza ulazima wa kushirikiana katika mapambano dhidi ya ugaidi, na pia wameahidi kuimarisha uratibu kwa ajili ya kutatua mgogoro wa Ukraine.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako