• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa China atangaza uamuzi wa baraza la serikali kuhusu kurekebisha kanuni za usimamizi wa vifaa vya matibabu

  (GMT+08:00) 2017-05-19 19:39:57

  Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesaini amri No. 680 ya baraza la serikali, akitangaza uamuzi wa baraza hilo kuhusu kurekebisha kanuni za usimamizi wa vifaa vya matibabu unaoanza kutekelezwa leo.

  Uamuzi huo ulitangazwa baada ya kujadiliwa na kupitishwa kwenye baraza la serikali. Lengo la uamuzi huo ni kukamilisha na kuimarisha usimamizi wa uwekaji na matumizi ya vifaa vikubwa vya matibabu, na kuhakikisha ubora na usalama wa utoaji wa huduma za matibabu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako