• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ampongeza rais wa Iran kuchaguliwa tena kuwa rais

    (GMT+08:00) 2017-05-21 18:06:55

    Rais Xi Jinping wa China ametoa pongezi kwa rais Hassan Rouhani wa Iran kwa kuchaguliwa tena kuwa rais wa nchi hiyo.

    Rais Xi Jinping aemsema, katika miaka minne iliyopita, Iran ikiongozwa na rais Rouhani imepata mafanikio mapya katika maendeleo ya uchumi na jamii. Kutokana na juhudi za pamoja, uhusiano kati ya China na Iran umepata maendeleo mazuri. Mwaka jana China na Iran zilitangaza kuanzisha rasmi uhusiano wa wenzi wa kimkakati katika pande zote. China inapenda kushirikiana na Iran na kuendelea kusukuma mbele uhusiano huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako