• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Korea Kaskazini yathibitisha jaribio la kombora la masafa ya kati

    (GMT+08:00) 2017-05-22 08:44:36

    Korea Kaskazini imethibitisha kuwa imefanya jaribio la kurusha kombora lingine la masafa ya kati aina ya "Pukguksong-2" Jumapili, ikiwa ni mara ya pili kwa nchi hiyo kufanya majaribio ya makombora ndani ya wiki moja. Shirika la habari la Korea kaskazini limesema rais Kim Jong Un wa nchi hiyo alishuhudia jaribio hilo na kwamba linalenga kupima vigezo na uwezo wa kombora hilo katika hali tofauti ya kivita, kabla ya kutumiwa rasmi na jeshi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako