• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kiwango cha wanachi wa Ufaransa kuridhika na rais Macron ni asilimia 62

    (GMT+08:00) 2017-05-22 08:45:37

    Uchunguzi mpya wa maoni unaonesha kuwa kiwango cha wananchi wa Ufaransa kuridhika na rais mpya Emmanuel Macron na waziri mkuu mpya Édouard Philippe ni asilimia 62, na asilimia 55 mtawalia. Kabla ya hapo uchunguzi uliofanywa na kampuni ya Elabe ulionesha kuwa asilimia 45 tu ya wahojiwa wana imani na rais Macron, kiwango ambacho ni chini kuliko marais waliopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako