• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Duru ya mwisho ya Michuano ya Raga wachezaji 7 Shujaa ya Kenya yatupwa nje.

    (GMT+08:00) 2017-05-22 08:47:51

    Timu ya raga ya Shujaa ya Kenya imetupwa nje ya michuano hiyo baada ya kukubali kichapo cha 47-0 toka kwa Marekani katika mechi za kundi A za michuano hiyo inayofanyika mjini London.

    Katika mechi ya ufunguzi jijini London, Kenya ilitupa uongozi na kuzidiwa na miamba Afrika Kusini kwa pointi 12-10. Baada ya vichapo hivyo viwili, mashabiki wamejitosa katika mitandao ya jamii kuzishambulia kwa maneno makali timu ya Shujaa pamoja na Shirikisho la mchezo wa Raga la Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako