• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapenda kutoa mchango wa kiujenzi kwa amani ya Mashariki ya Kati

    (GMT+08:00) 2017-05-22 19:40:05

    Mjumbe wa taifa la China Bw. Yang Jiechi amekutanana na viongozi wa ujumbe wa nchi za kiarabu na Umoja wa Nchi za Kiarabu wanaohudhuria mkutano wa 14 wa maofisa waandamizi wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika unaofanyika hapa Beijing.

    Bw. Yang amesema nchi za kiarabu zimetoa mchango mkubwa kwa baraza la ushirikiano wa kimataifa wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" lililofanyika hivi karibuni hapa Beijing. Amesema China inapenda kusukuma mbele maendeleo ya pamoja ya China na nchi za kiarabu kupitia ujenzi wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja", na inaunga mkono juhudi za nchi za kiarabu za kulinda haki halali za kitaifa. Ameongeza kuwa, China inapenda kutoa mchango wa kiujenzi kusukuma mbele amani na utulivu katika Mashariki ya Kati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako