• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: kukosekana kwa kazi kumeacha KRA na upungufu wa sh bilioni 34.

    (GMT+08:00) 2017-05-22 21:02:20
    Kukosekana kwa kazi kmeathiri karibu sekta zote ikiwa ni pamoja na rejareja, viwanda na huduma za kifedha.

    Takwimu rasmi inaonyesha ukusanyaji wa kodi umeenda chini dhidi ya matarajio ya serikali.

    Jumla ya ukusanyaji wa kodi ilifikia sh bilioni 908.94 dhidi ya ile ilikuwa inatarajiwa ambayo ni sh biliuoni 960.41.

    Kampuni ya kutengeneza Coca-Cola, Nakumatt, zimepanga kufunga baadhi ya matawi yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako