• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kiwanda cha kutengenezaji tairi za magari Sameer Afrika imefuta kazi wafanyikazi 277

    (GMT+08:00) 2017-05-22 21:02:46

    Kiwanda cha kutengenezaji tairi za magari Sameer Afrika imefuta kazi wafanyikazi 277 kufuatia kufungwa kwa kiwanda chake mjini Nairobi.

    Soko la hisa Nairobi liliandikisha kampuni hiyo ilitumia Sh milioni 293 katika kuwalipa wafanyikazi waliofutwa kazi na, kila mfanyikazi alienda nyumbani zaidi ya sh milioni 1.

    Sameer ilifunga kiwanda chake mwezi Septemba mwaka jana, kutokana na kuongezeka kwa ushindani kutoka nje.

    Faida ya kampuni hiyo baada ya kodi mwaka wa 2016 ilifikia Sh milioni 652.1 ikilinganishwa na hasara ya Sh milioni 15.6 katika mwaka 2015.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako