• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 17 wafariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutumbukia kwenye korongo nchini Mexico

    (GMT+08:00) 2017-05-23 20:01:37

    Idara ya ulinzi wa raia ya jimbo la Chiapas kusini mashariki mwa Mexico imesema, watu 17 wamefariki na wengine zaidi ya 31 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutumbukia kwenye korongo hapo jana.

    Matokeo ya uchunguzi yameonesha kuwa, ajali hiyo ilisababishwa na breki za basi hilo kushindwa. Rais Enrique Peña Nieto wa Mexico ametoa salamu za rambirambi kwa ndugu na jamaa za watu waliofariki katika ajali hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako