• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashirikisho ya biashara ya Kenya, China na Uingereza yasaini makubaliano ya kukuza ushirikiano

    (GMT+08:00) 2017-05-24 09:06:58

    Mashirikisho ya biashara ya Kenya, China na Uingereza yamesaini makubaliano ya kuhimiza ushirikiano kati yao. Mwenyekiti wa Chama cha wafanyabiashara wa China nchini Kenya KCETA Bw. Zhang Haifeng amesema makubaliano hayo yatahimiza ushirikiano kati ya pande hizo tatu kwenye maeneo yenye maslahi ya pamoja. Mkurugenzi wa Chama cha sekta binafsi cha kenya KEPSA Bw. Nick Nesbitt ametaja kusainiwa kwa makubaliano hayo kuwa ni hatua muhimu ya kuimarisha uhusiano kati ya pande tatu kwenye ngazi ya kisekta na kitaifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako