• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuunda mfumo wa satelaiti wa kuongoza mawasiliano ifikapo mwaka 2020

    (GMT+08:00) 2017-05-24 09:07:18

    China itarusha satelaiti 18 za kuongoza mawasiliano ifikapo mwaka kesho. Mwenyekiti wa Kamati ya mfumo wa satelaiti wa kuongoza mawasiliano wa China Bw. Wang Li amesema satelaiti 6 hadi 8 zitarushwa katika nusu ya pili mwaka huu, na mfumo wa kuongoza mawasiliano wa Beidou utaweza kutoa huduma kwa nchi washiriki wa mpango wa Ukanda mmoja na Njia moja ifikapo mwaka 2018. Bw. Wang amesema uuundaji wa mfumo huo wa Beidou unatarajiwa kukamilika kabla ya mwaka 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako