• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo kutokana na ajali ya basi nchini India yaongezeka

    (GMT+08:00) 2017-05-24 18:10:46

    Idadi ya watu waliofariki katika ajali mbaya ya basi iliyotokea mji wa Dharasu ulioko wilaya ya Uttarakasi, mkoani Uttarakhand nchini India imefikia 24.

    Waziri mkuu wa India Narendra Modi ameeleza kuhuzunishwa na ajali hiyo mbaya, na ametangaza kutoa fidia ya dola za kimarekani 3000 kwa familia za watu waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo.

    Ajali hiyo ilitokea jana jioni baada ya basi lililokuwa limebeba mahujaji, kuanguka kwenye korongo la Mto Bhangirathi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako