• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu mteule wa WHO asisitiza kushikilia sera ya China moja

    (GMT+08:00) 2017-05-25 08:47:22

    Katibu mkuu mteule wa Shirika la afya duniani WHO Bw. Tedros Adhanom amesisitiza kuwa shirika hilo litaendelea kufuata sera ya kuwepo kwa China moja, na kushughulikia kwa hatua mwafaka masuala yanayohusiana na Taiwan kwa mujibu wa maazimio husika ya Umoja wa Mataifa na WHO. Bw. Tedros amesema ataendelea kuiongoza WHO kuimarisha ushirikiano na China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako