• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EAC: Watengenzaji bidhaa Afrika mashariki watakiwa kutumia mtandao

    (GMT+08:00) 2017-05-25 18:51:03

    Watengenzaji bidhaa kwenye jumuiya ya Afrika mashariki wametakiwa kukumbatia biashara ya kisasa kwa kutumia mtandao ili kufikisha bidhaa zao kwa wateja wengi.

    Akizungumza wakati wa kongamano la utengenezaji bidhaa na biashara lililokamilika mjini Kigali Rwanda, katibu mkuu wa shirika la kibiashara la Umoja wa Mataifa (UNCTAD) Dkt. Mukhisa Kituyi, amesema bishara ya mtandao ni njia ya ubunifu ya kuendeleza viwanda na biashara kwenye kanda hiyo.

    Zaidi ya washiriki 500 walihudhuria kongamano hilo la siku tatu wakiwemo wafanya biashar, wasomi na wataalam wa sera za masoko kujadili jinsi ya kuendeleza sekta ya kiviwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako