• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa zamani wa Ugiriki ajeruhiwa katika mlipuko wa kifurushi

    (GMT+08:00) 2017-05-26 09:29:30

    Waziri mkuu wa zamani wa Ugiriki Bw. Lucas Papademos jana alijeruhiwa kidogo baada ya kifurushi kilichowekwa kwenye gari lake kulipuka katikati ya mji wa Athens, madereva wake pia walijeruhiwa katika tukio hilo. Bw. Papademos aliwahi kuwa waziri mkuu wa Ugiriki kuanzia mwaka 2011 hadi 2012.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako