• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 25 wameuawa ikiwa ni pamoja na wanajeshi 18 kwenye shambulizi dhidi ya kambi ya jeshi nchini Afghanistan

    (GMT+08:00) 2017-05-26 19:18:26

    Watu 25 ikiwa ni pamoja na wanajeshi 18 na wapiganaji saba wa kundi la Taliban wameuawa baada ya wapiganaji wa kundi la Taliban kuvamia kambi ya jeshi mjini Kandahar ijumaa.

    Ofisa mmoja amesema kundi la Taliban lilifanya shambulizi la kupanga kwenye kambi ya jeshi iliyoko kwenye wilaya ya Shah Walikot kwenye majira ya asubuhi ya leo. Mbali na waliouawa wanajeshi 16 na wapiganaji 15 wa kundi la Taliban wamejeruhiwa

    Hii ni mara ya pili ndani ya siku nne kwa kundi la Taliban kufanya shambulizi. Shambulizi lingine lilitokea jumanne ambapo wanajeshi 10 wa jeshi la serikali waliuawa na wengine kadhaa walijeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako