• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe maalum wa rais wa China kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa reli ya Mombasa-Kenya

    (GMT+08:00) 2017-05-26 20:52:39

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang amesema kutokana na mwaliko wa serikali ya Kenya, mjumbe wa taifa Bw. Wang Yong akiwa ni mjumbe maalum wa rais wa China atahudhuria hafla ya uzinduzi ya reli ya Mombasa-Nairobi nchini Kenya tarehe 30 Mei na tarehe 1 Juni. Bw. Wang pia atafanya ziara nchini Niger, Angola na Zambia kuanzia tarehe 1 hadi tarehe 9 juni kutokana na mialiko ya serikali za nchi hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako