• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Bei zote za vinywaji kama vile juisi, bia, sigara, chupa za maji zitapanda moja kwa moja baada ya kila miaka miwili

    (GMT+08:00) 2017-05-29 20:00:56

    Bei zote za vinywaji kama vile juisi, bia, sigara, chupa za maji zitapanda moja kwa moja baada ya kila miaka miwili ikiwa pendekezo la marekebisho katika Muswada wa Sheria ya Fedha ikipitishwa kuwa sheria.

    Ongezeko la bei, itaunganishwa na kiwango cha wastani cha mfumuko wa bei katika kipindi cha miezi 12 kabla ya ukaguzi unaofanyika mara mbili kwa mwaka, inaweza kuanza kutumika mwezi Julai.

    Sheria ya Ushuru wa bidhaa hivi sasa itapatia Hazina ya fedha na Mamlaka ya Mapato ya Kenya nguvu ili kufanya kodi kuongezeka kila mwaka lakini marekebisho, yakipitishwa, itaona basi ongezeko hilo litafanyika kila baada ya miaka miwili.

    Mfumuko wa bei ulifikia wastani wa asilimia 7.9 katika miaka mitano iliyopita, ambayo itashiriana kuongezeka kwa bei ya matumizi kama serikali akiamua kupitisha kodi mwaka huu.

    Serikali imepanga kutumia jumla ya Sh trilioni 2.62 katika bajeti ya taifa ijayo, ambapo ushuru wa bidhaa unatarajiwa kupanda kutoka Sh bilioni 180.8 katika bajeti ya sasa hadi Sh bilioni 199.8.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako