• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda Wafadhili wametishia kuondoa sh bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha usambazaji wa umeme

    (GMT+08:00) 2017-05-29 20:01:52

    Wafadhili wametishia kuondoa sh bilioni 234 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha usambazaji wa umeme kutokana kuchelewa kuwa fidia wa wamiliki wa ardhi.

    Kulingana na Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya usambazaji umeme Uganda, Willy K Kiryahika, ni kwamba baadhi ya viongozi wa serikali wanachelewesha kufanya majina mapya kwa ajili ya wamiliki wa ardhi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako