• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Benki ya Afrika yatoa fedha kwa wahanga wa Genocide Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-05-29 20:02:58

    Benki ya Afrika imetoa franki milioni 3 kama msaada wa waathiriwa wa mauaji ya kimbari katika vita vya 1994.

    Fedha hizi zitagawanywa katika vyama vya ushirika na maendeleo ya biashara .

    Vile vile wanawake waliofiliwa na waume zao kwenye vita hivyo watapewa fedha bila mikopo za kuanzisha miradi ya biashara ndogo ndogo.

    Mkurugenzi wa benki hiyo Abderahmanne Belbashir amesema benki yao imepata mafanikio makuu kutoka kwa wateja wa miradi ya kawaida ya biashara.

    Amesisitiza kwamba msaada huo utabadilisha maisha ya kiuchumi kwa raia wa Rwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako