• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la dunia U-20: England yasonga, Guinea nje

    (GMT+08:00) 2017-05-30 08:46:37
    Argentina imeinyeshea mvua ya magoli Guinea kwa mabao 5-0 na kuiondoa katika mashindano ya kombe la dunia kwa vijana chini ya miaka 20 yanayoendelea Korea Kusini.

    Guinea imemaliza ikiwa ya mwisho katika kundi A ilikuwa ikihitaji kushinda mechi yake dhidi ya Argentina ili kufufua matumaini yake ya kubaki kwenye mashindano hayo.

    Guinea imepata pointi moja katika mashindano hayo baada ya kupata sare ya 1-1 dhidi ya England, kabla ya kukubali kichapo cha 3-0 toka kwa wenyeji Korea Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako