• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Beijing yafungua kesi 13 za usafirishaji wa pembe za Ndovu katika nusu ya kwanza ya mwaka

    (GMT+08:00) 2017-05-30 18:34:18

    Idara ya Forodha ya Beijing imesema, zaidi ya vipande 520 vya pembe za Ndovu na bidhaa za pembe hizo zilikamatwa katika kesi 13 kuanzia mwezi Oktoba mwaka jana hadi April mwaka huu.

    Kati ya kesi hizo 13, mtuhumiwa mmoja alijaribu kupitisha isivyo halali pembe saba za Ndovu na bidhaa zake kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing. Idara ya Forodha ya Beijing imesema, wengi wa walanguzi ni raia wa China wanaofanya kazi Afrika, ambako wana fursa ya kupata pembe hizo na bidhaa za pembe hizo kwa bei rahisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako