• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sportpesa Super 8 Premier Ligi Kenya: Kawangware United, Zamalek, TUK zatoka vifua mbele

    (GMT+08:00) 2017-05-31 08:36:03
    Timu za Kawangware United, TUK na Zamalek zimepata ushindi katika mechi za Sportpesa Super 8 Premier Ligi inayofanyika Nairobi Kenya. Kawangware iliishinda Babete United FC kwa jumla ya magoli 2-1. Nao mabingwa wa zamani timu ya wanafunzi wa chuo kikuu cha ufundi cha Kenya (TUK FC) wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kayole. Kwingineko, Zmalek FC waliibuka na ushindi dhidi ya Ole Rangai FC wa goli 2-1. Matokeo mengine Macmillan FC ilikubali kipigo cha 4-1 toka kwa NYSA FC.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako