• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • New Castle yarejea Ligi Kuu Uingereza (EPL)

    (GMT+08:00) 2017-05-31 08:37:19
    Klabu ya Newcastle United imerejea katika kipute cha Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kushushwa daraja msimu uliopita. Timu hiyo sasa itajiunga na timu za Huddersfield na Brighton kujaza nafasi tatu za Sundeland, Middleborough na Hull City ambazo zilishushwa ngazi katika msimu uliomalizika mapema mwezi huu wa Mei. Vijana hao wa Rafael Benitez walishuka daraja na kucheza katika daraja la pili na sasa imejinyanyua tena na kurejea ndani ya EPL.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako