• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Beijing yapokea watalii milioni 4 katika kipindi cha sikukuu ya mashua ya drogoni ya kichina

    (GMT+08:00) 2017-05-31 09:23:25

    Kamati ya maendeleo ya utalii ya mji wa Beijing imesema maeneo 177 yenye vivutio vya utalii mjini Beijing yamepokea watalii zaidi ya milioni 4 katika kipindi cha siku tatu cha Sikukuu ya mashua ya dragoni ya jadi ya kichina. Kamati hiyo imesema ingawa idadi ya watalii inafanana na ile ya mwaka jana, lakini mapato ya utalii katika kipindi hicho yamepanda kwa asilimia 6.1 na kufikia dola za kimarekani milioni 20.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako